Nawezaje kufuta akaunti yangu ya Tala ?

Kwa mujibu wa Masharti yetu ya Huduma na Sera ya faragha yetu, tunakusanya maelezo kutoka kwenye simu yako kujua kiasi cha juu cha kukukopesha. Kama unapenda kusitisha uhusiano wako na Tala, unaweza kuifuta app kutoka kwenye simu yako.

Last updated:
Was this article helpful?
303 out of 568 found this helpful