Naweza kutumia nambari yangu mpya kwenye Tala?

Kulingana na sera za usalama za kampuni ya Tala, kwa sasa haturuhusu ubadirishaji wa nambari ya simu au akaunti. Kwa hivyo, umeshauriwa kutumia nambari yako ya simu ya awali iliyosajiliwa na Tala ili kuingia kwa akaunti yako. 

Last updated:
Was this article helpful?
397 out of 687 found this helpful