Naweza fanya nini nikilipa pesa zaidi ya deni langu?

Kama utachukuwa mkopo mwingine, tunaweza kuweka hiyo hela kwenye akauti yako ili kupunguza mkopo wako utakaofata. Kama hautachukuwa mkopo mwingine, Tafadhali tutumie ujumbe wa malipo uliyopata baada ya kufanya malipo ili tuweze kurudisha hela yako kwenye Mpesa.

Last updated:
Was this article helpful?
263 out of 315 found this helpful