Mbona malipo yangu hayajahesabiwa kwenye akaunti yangu?

Kama malipo yako hayaonekani kwenye akaunti yako, Tafadhali copy na paste ujumbe wa malipo, alafu ututumie huo ujumbe wa malipo kupitia chat yetu kwenye App. Tutahitaji kuona transaction code, kiwango cha pesa, tarehe, muda uliyofanya malipo na namba ya akaunti unayolipia. Kisha tutafatilia malipo hayo na kuweka kwenye akaunti yako.

Last updated:
Was this article helpful?
195 out of 248 found this helpful