Naweza pata mkopo mwingine kabla ya kulipa nilio nao kwa sasa?

Samahani, hauna uwezo wa kuomba mkopo mwingine kabla ya kukamilisha malipo. Unaweza kupata mkopo mwingine baada ya kukamilisha mkopo wa sasa au awali.

Last updated:
Was this article helpful?
143 out of 171 found this helpful