Nilikubaliwa mkopo lakini sikupata pesa hizo kwenye akaunti yangu.

Tafadhali fata hatua hizi: Agalia akauti yako ya Mpesa kama hela ipo. Wakati mwingine huwa inachukuwa muda kidogo. Pia kuna uwezekano haukukamilisha hatua zote za usajili. Tafadhali ingia kwenye app, chagua ratiba yako ya malipo, kisha bonyeza Tuma mkopo wangu. Kama umekamilisha hatua za usajili na bado haujapokea mkopo wako, tafadhali wasiliana nasi kupitia chat yetu kwenye App.

Last updated:
Was this article helpful?
596 out of 784 found this helpful