Nahitaji nambari mpya ya msimbo.

Tafadhali futa App yako kisha tumia hii link:http://inv.re/5nmq kupata tena App ya Tala.

Baada ya kuweka nambari yako uya simu, utapokea code mpya ambayo utatumia kupata nambari ya siri mpya. Usipoipokea, tafadhali bonyeza "tuma code tena" kupata code mpya. Ingia kwenye App mara hio hio ili kutengeneza namba ya siri mpya.

Last updated:
Was this article helpful?
159 out of 197 found this helpful
Powered by Zendesk