Nilikuwa na mkopo mwingine awali. Mbona sijakubaliwa kupata mkopo tena?

Asante kwa kuwa mteja wetu. Samahani kwa kukosa mkopo hivi sasa. Fahamu kuwa mitambo yetu inazingatia vigezo vingi ili kuangalia uwezekano wa kupata mkopo. Malipo ya wakati ndio njia bora ya kuweza kufanikiwa kupata mikopo yetu siku za usoni. Tutakufahamisha utakaporuhusiwa kupata mkopo tena.

Last updated:
Was this article helpful?
959 out of 1636 found this helpful