Mbona sijafaulu kupata mkopo?

Tunaelewa kuwa kutopata mkopo kwa wakati haifurahishi. Maamuzi ya mkopo inafanywa na kompyuta inayozingatia vigezo vingi, kama mapato yako, malipo ya mikopo mingine, matumizi ya Mpesa na maelezo mengine. Tunafanya kazi kuboresha masharti yetu. Tutakufahamisha utakaporuhusiwa kupata mkopo.

Last updated:
Was this article helpful?
1545 out of 2649 found this helpful