Je naweza aje kuomba mkopo wa Tala? (Mteja wa sasa ama wa awali)

Kuomba mkopo, fungua App ya Tala, ili kuendelea na hatua za kupata mkopo. Ukifanikiwa kupata mkopo, chagua muda wa malipo kisha chagua kitufe cha tuma mkopo wangu. Kwa wateja ambao wamepata mikopo ya awali, unaweza kupata mkopo mwingine baada ya kukamilisha malipo mkopo wako wa sasa.

Last updated:
Was this article helpful?
2480 out of 3191 found this helpful