Mbona kiasi changu cha mkopo ni kidogo kuliko kiasi cha mkopo wangu wa awali?

Tunaelewa kuwa ni changamoto kutopata kiwango ulichohitaji. Mitambo yetu huangalia vigezo vingi wakati wa kupeana mikopo. Kuchelewa kufanya malipo, inaweza kupunguza kiwango chako. Tafadhali weka akaunti yako katika hali nzuri ili uweze kupata mikopo mikubwa siku za usoni.

Last updated:
Was this article helpful?
391 out of 695 found this helpful