Je, kiasi changu cha mkopo ni shilingi ngapi?

Maamuzi yetu ya mikopo hufanywa na mfumo wa kiteknologia inayozingatia vigezo vingi ili kuweza kukubali maombi ya mkopo na kiwango. Baada ya kukamilisha maombi ya mkopo, App itakuonyesha kiwago cha mkopo unayoweza kupata.

Last updated:
Was this article helpful?
2839 out of 3450 found this helpful