Nani anaruhusiwa kunipigia simu nikichelewa kulipa?

Washiriki wa Tala wanaweza kuwasiliana nawe ili kupanga ratiba ya mikopo iliyochelewa.
Hawa washirika ni:

  • Skywave Management Services

  • Finley Collections Africa

  • Apex Debt Collections

  • Nimble Group Kenya

     

Last updated:
Was this article helpful?
180 out of 222 found this helpful