Nitaombaje cheti cha kibali kutoka ofisi za taasisi za CRB?

Tala haitoi vyeti vya kibali, hii inashughulikiwa na CRB. Ikiwa unahitaji hati ya kibali, tafadhali fuatilia na Metropol, Transunion na Creditinfo. Tafadhali kumbuka ya kwamba unahitaji kulipa ada fulani kwa taasisi za CRB ili utolewe cheti cha kibali chako.

Last updated:
Was this article helpful?
451 out of 564 found this helpful