Nitajuaje kama niko CRB?

Kwa Metropol, unaweza kubonyeza simu yako * 433 #, au tuma majina yako kupitia nambari ya SMS 21272 kwa Transunion, au download programu ya Transunion nipashe. Kwa CreditInfo, tafadhali piga simu 0709593000.

Last updated:
Was this article helpful?
284 out of 325 found this helpful