Je, nitafutaje mkopo na jina langu kwenye ripoti ya taasisi za CRB?

Ikiwa hautafanikiwa kulipa mkopo wako kwa wakati, maafisa wetu wa kutoza madeni watawasiliana na wewe.

Walakini, ni muhimu kufanya malipo yako kwa wakati ili kuendelea kufaidika na mkopo wa Tala wa haraka, na riba ya chini. Kukosa kulipa mkopo wako kwa wakati unaostahili, inaweza kushababisha kuongezewa ada ya kuchelewa au kutokuwa na uwezo wa kupata mkopo unaofuata.

Last updated:
Was this article helpful?
575 out of 701 found this helpful