Je, ni lini mnaripoti mikopo isiyolipwa kwa CRB?

Tunaripoti akaunti yako kwa taasisi za CRB (Metropol, Transunion na Creditinfo) baada ya siku 112 ikiwa bado hujalipa mkopo wako kwa ukamilivu.

Last updated:
Was this article helpful?
379 out of 447 found this helpful