Tala ni nini?

Tala hupeana mikopo na huduma nyinginezo za kifedha nchini Kenya na kwingine ulimwenguni. Mamilioni ya watu wameomba mikopo kupitia app ya simu ya Tala, ambayo humruhusisha mtu yeyote aliye na simu ya android kuomba mkopo na kupata uamuzi papo hapo, bila kujali historia yao ya mikopo.

Last updated:
Was this article helpful?
372 out of 449 found this helpful