Jinsi gani nitakavyo lipa mkopo wangu? (Njia ndefu)

Ili kufanya malipo ya mkopo wa Tala:

  1. Enda kwenye menu ya Safaricom na uchague M-Pesa
  2. Kwenye menu yako ya Mpesa chagua Lipa na Mpesa
  3. Chagua PayBill
  4. Weka business number 851900
  5. Weka nambari yako iliyosajiliwa na Tala kama akaunti namba
  6. Weka kiwango cha malipo
  7. Weka PIN yako ya Mpesa
  8. Hakikisha ya kwamba kila maelezo yako iko sawa kisha bonyeza OK.

Kumbuka: Thibitisho lako la Mpesa litaonesha umetuma malipo hayo kwa akaunti ya Tala Mobile. Utapokea SMS kuthibitisha tumepokea malipo yako.

Last updated:
Was this article helpful?
235 out of 272 found this helpful