Mnayatumiaje majibu ninayowapatia wakati wa kuomba mkopo?

Tala hutumia majibu yako ya maswali ya kuomba mkopo kama sehemu moja ya kuamua ustahiki wa mkopo wa Tala. Kila jambo huwekwa kwa usiri na salama. Tafadhali tutumie ujumbe ikiwa una swali lolote la ziada.

Last updated:
Was this article helpful?
124 out of 141 found this helpful