Huwa mnaamuaje ikiwa mtu atakubaliwa kupata mkopo?

Maamuzi ya mkopo huwa na msingi wa mambo mbali mbali ikiwemo ni pamoja na mapato, ulipaji wa mikopo ingine, matumizi ya M-Pesa, na mambo mengine. Watumiaji hutupa mambo haya kupitia kujaza app na kujaza fomu ya utafiti, kisha software yetu inajenga maelezo ya mkopo. Hii inatuwezesha kupeana mikopo haraka na kwa watu wengine kushinda benki. Tunataka kupeana mikopo kwa kila mtu anayeweza kuimudu, na saa zingine huwa tunashindwa kuhitimu watu mara moja. Tunashughulikia njia zingine kadhaa za kukubali watu. Wakopaji waliokataliwa wanafaa kuiacha app kwenye simu bila kuifuta na watajulishwa kuomba baadae.

Last updated:
Was this article helpful?
592 out of 721 found this helpful