Nawezatumia Tala kwa lugha nyingine?

Kubadili lugha, fungua App yako ya Tala kabla hujaweka pin yako bonyeza dots tatu zilizoko juu ya skrini yako upande wa kulia kisha chagua lugha unayopendelea.

Last updated:
Was this article helpful?
282 out of 377 found this helpful