Ni vipi navyoweza kuomba mkopo wa Tala?

Ili kuomba mkopo wa Tala, download app ya Tala hapa http://inv.re/5nmq. Kisha jiandikishe na ujaze aplikesheni kwenye app ya Tala. Aplikesheni hii linafaa kuchukua tu dakika chache. Kwa taarifa zaidi kuhusu jinsi ya kuomba, bonyeza hapa.

Last updated:
Was this article helpful?
4067 out of 4972 found this helpful