Ni vipi ninaweza kuongeza kiwango changu cha mkopo haraka?

Kiwango chako cha mkopo kinaweza ongezeka ikiwa utalipa kwa wakati unaofaa. Wateja wetu wengi huhitimu kupata ongezeko moja kwa mwezi wanapochukua mkopo mara kwa mara.

Last updated:
Was this article helpful?
488 out of 569 found this helpful