Nawesaidika aje ikiwa PIN yangu imefungwa?

Tafadhlli piga picha ya kitambulisho chako pande zote mbili, ukiambatanisha na maelezo machache kuhusu shida yako, mfano PIN blocked, na uitume kama kiambatanisho kupitia In-App chat ili kutuwezesha kukufungulia PIN yako.

Last updated:
Was this article helpful?
110 out of 140 found this helpful