Naweza aje kubadilisha PIN yangu?

Ili kubadilisha PIN yako, fungua app ya Tala, chagua ‘Forgot Pin?’ kisha weka namba yako ya kitambulisho ili kupata PIN mpya ya muda mfupi. PIN hio iitatumwa kwako kupitia SMS. Utaitumia kuingia na mara moja kuweka PIN mpya.

Last updated:
Was this article helpful?
158 out of 207 found this helpful