Na je kama simu yangu ikiwa tayari imeandikishwa kwa akaunti nyingine ya Tala?

Ikiwa unatumia simu ambayo tayari imesajiliwa katika mfumo wetu kwa akaunti tofauti, mfumo huo utakuarifu ikiwa kuna haja ya kuwasiliana nasi au la.

Ikiwa umeelekezwa kuwasiliana nasi, tafadhali fanya hivyo kwa kutuma ombi kupitia programu ya Tala. Tunaweza kukuuliza uwasiliane na mtu aliyekuuzia au aliyekuzawadi simu hii atutumie maelezo yafuatayo kwa 21991 kutoka nambari yao ya simu iliyosajiliwa ya Tala:

  • Jina lako kamili
  • Nambari yako ya simu
Last updated:
Was this article helpful?
518 out of 648 found this helpful