Nini kitatokea ikiwa sitaweza kulipa kwa wakati unaofaa?

Ukikosa kulipa mkopo wako siku 7 baada ya tarehe yako ya malipo, utatozwa ada ya kuchelewa ya 8% kwenye akaunti yako. Kwa maswali zaidi tafadhali tufikie kupitia app ya Tala au kwa hellokenya@talamobile.com

Last updated:
Was this article helpful?
417 out of 480 found this helpful