Ninapaswa kulipa baada ya muda gani?

Tala inapeana siku 30 na siku 21 ya mkopo. Unaweza lipa mara moja au kidogo kidogo bora tu umalize kulipa kwa wakati uliopewa.

Mara kwa mara, wateja hupewa mikopo kwa masharti ya kulipa kwa muda mfupi au mrefu. Mkopo wako unapoidhinishwa, angalia tarehe unayopaswa kulipa na uchague inayokufaa zaidi.

Last updated:
Was this article helpful?
142 out of 157 found this helpful