Nitalipaje mkopo?

Unaweza kulipa mkopo kutumia M-Pesa Xpress au kupitia Paybill yetu 851900. Tumia nambari ya simu uliyojisajili nayo kwa Tala kama nambari ya akaunti.

Last updated:
Was this article helpful?
1028 out of 1210 found this helpful