Ada ya mikopo yenu ni ngapi?

Tunatoza ada ya huduma isiyobadilika kwa kila mkopo.

  • Tunapeana mikopo ya siku 30 yenye kiwango cha ada kati ya 7% hadi 19%.
  • Pia tunapeana mikopo ya siku 21 na tunatoza ada ya chini kuanzia 5% hadi 14%
  • Wateja wengine huenda wakahitimu na kupata mikopo kwa masharti mengine ya muda zaidi. Ombi la mkopo wako linapoidhinishwa, angalia tarehe unayopaswa kulipa na uchague inayokufaa zaidi.

Lipa mkopo wako kwa muda ufaao ili kudumisha au hata kutozwa ada iliyopunguzwa na kubaki kwenye rekodi nzuri na Tala.

Last updated:
Was this article helpful?
1098 out of 1224 found this helpful