What devices do you support?

Follow

Comments

2 comments

 • stanely nyaga chomba

  Sina number ya mwenye kuniuzia hii simu

 • Ken

  Habari Stanely,

  Asante kwa kuwasiliana nasi. Tafadhali fahamu kuwa kulingana na sera zetu za kampuni, lazima aliyetumia hiyo simu atutumie ujumbe mfupi wa jina lako pamoja na nambari yako ya simu kupitia akaunti yake ya Tala kwa 21991 ili tukuunganishe. Iwapo haumfahamu twakushauri ununue simu mpya ambayo haijatumika kupata mkopo wa Tala.

  Kila la heri,

  Ken.

Please sign in to leave a comment.

Powered by Zendesk